UKURASA WA 1192; Ukweli Upo Hapo Ulipo, Usiende Mbali Kuutafuta, Fungua Macho Kuuona…

By | April 6, 2018
Moja ya mahangaiko ambayo sisi binadamu tumekuwa tunafanya, ni kwenda mbali kutafuta kitu ambacho tayari kipo pale tulipo. Halafu pamoja na kwenda mbali hatupati tunachotafuta, mwishowe tunaona maisha ni magumu na kukata tamaa. Angalia mifano mingi na utajionea mwenyewe. Mtu anaondoka kwenye kazi moja na kwenda kwenye kazi nyingine akiamini

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In