1597; Iamini Dunia Na Hofu Zitapotea Zenyewe…

By | May 16, 2019
Chanzo kikuu cha hofu kwenye maisha yetu ni kukosa imani kwenye dunia na kwetu wenyewe. Kuna kitu tunakuwa tunataka, lakini tunapoangalia nafasi ya kuweza kukipata, na hatari iliyopo kwenye kukikosa tunapata hofu kubwa. Tunajiuliza vipi kama tukijaribu na tukashindwa, au vipi kama mambo yakienda tofauti na jinsi tulivyopanga? Huwa tunataka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In