1648; Bila Ukinzani Hakuna Mwendo…

By | July 6, 2019
Umeme ni mtiririko wa elektroni ambazo zinatoka eneo moja kwenda eneo jingine. Elektroni hizo zitakaa kwenye mtiririko wake bila ya kuzalisha chochote mpaka pale zitakapokutana na ukinzani. Taa ni ukinzani kwenye umeme, inazuia mtiririko wa elektroni na hivyo kuzalisha mwanga na joto. Ili ndege iweze kuruka hewani, inahitaji sana ukinzani

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In