1700; Kushindwa Ni Tabia…

By | August 27, 2019
Kushindwa hakutokei mara moja, siyo ajali. Kushindwa ni matokeo ya tabia ambazo mtu anakuwa amejijengea na kuzirudia rudia kwa muda mrefu. Hakuna mtu anaamka siku moja na kujikuta kwenye madeni makubwa, bali ni tabia ambayo inatengenezwa kidogo kidogo na baadaye inakuwa kubwa. Hakuna mtu anaamka siku moja na kujikuta ana

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In