1746; Siyo Wewe, Ni Kazi…

By | October 12, 2019
Jifunze kujitofautisha wewe na kazi yako, kwa sababu hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa. Wewe ni tofauti kabisa na kile unachofanya, japo mna uhusiano wa karibu. Kuweza kufanya hili, kunakusaidia sana kuwa na maisha tulivu na yasiyoyumbishwa kwa namna yoyote ile. Kwa mfano pale unapomwelezea mteja kuhusu kile unachofanya kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In