1909; Tatizo Lako Halina Utofauti…

By | March 23, 2020
Ni rahisi kuwapa watu ushauri pale wanapokuwa na matatizo au changamoto fulani. Lakini sisi wenyewe tunapokuwa kwenye tatizo au changamoto hiyo hiyo, hatuwezi kutumia ushauri wetu wenyewe. Hii ni kwa sababu huwa tunajiaminisha kwamba tatizo tulilonalo sisi ni tofauti na matatizo wanayokuwa nayo watu wengine. Lakini huo siyo ukweli, ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In