2008; Dalili Ya Hofu Isiyoonekana Wazi Wazi…

By | June 30, 2020
Kila mtu huwa ana dalili fulani za hofu, pale anapokuwa na hofu, mwili wake huwa unamsukuma kufanya kitu fulani, hata kama hajui. Kuna ambao hung’ata kucha, kuna ambao mikono hutetemeka na wengine kutokwa jasho, hata kama hakuna joto. Ipo dalili ya kiakili ya hofu, ambayo huwa inawapata walio wengi, lakini

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In