2021; Ni Kwa Sababu Yako Binafsi…

By | July 13, 2020
Kwa asili sisi binadamu ni wabinafsi, huwa tunajali mambo yetu zaidi kuliko mambo ya wengine. Na hakuna ubaya wowote kwenye hili, japo jamii inapenda kutuonesha kwamba ubinafsi ni mbaya, ukitumika vizuri ndiyo njia ya uhakika ya kufanikiwa. Lazima uanze kwa kukiri kwamba chochote kile unachofanya ni kwa sababu yako binafsi.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In