2031; Majibu Ya Haraka…

By | July 23, 2020
Pale unapoongea au kuwasiliana na mtu mwingine kwa njia yoyote ile, akasema kitu kisha jibu likaja haraka kwenye akili yako, kuwa makini kabla hujatoa jibu hilo. Maana majibu mengi ambayo huwa yanakuja haraka huwa siyo sahihi, ni majibu ambayo yanakuwa hayajaangalia swala zima bali yamesukumwa na kile kilichoshika hisia zako

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In