#TAFAKARI YA LEO; HAZINA KUBWA ULIYONAYO…

By | August 1, 2020
“I guard my treasures: my thought, my will, my freedom. And the greatest of these is freedom.” – Ayn Rand Fikra, utashi na uhuru, ni hazina ambazo kila mmoja wetu anazo. Hazina ambazo mtu ukiweza kuzitumia vizuri, zinakupa kila unachotaka. Na katika hazina hizo, uhuru ndiyo hazina iliyo juu kabisa.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In