#TAFAKARI YA LEO; HAKUNA SIFA KWENYE HASIRA…

By | August 8, 2020
“When you start to lose your temper, remember: there’s nothing manly about rage.” – Marcus Aurelius Kuna wakati mambo yanatokea, mambo ambayo hukutegemea yatokee na hukuwa umejiandaa nayo. Kama mambo hayo yanakuangusha au kukukwamisha, unapatwa na hasira. Ni wakati wa hasira ndiyo unaweza kufanya vitu utakavyovijutia sana kwenye maisha yako.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In