2086; Kauli Ya Kishujaa Na Inayokupa Uhuru…

By | September 16, 2020
Kwenye moja ya mahojiano yake na watu mbalimbali waliofanikiwa, mwandishi James Altucher alikuwa anamhoji mchekeshaji na mfanyabiashara Bryon Allen ambaye alianza ujasiriamali akiwa na umri wa miaka 12. Alipokutana na wachekeshaji maarufu, aliona hicho ndiyo kitu anachotaka kufanya kwenye maisha yake na hapo alijipa kauli ya kishujaa na iliyompa msukumo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In