2088; Hasira Zako Haziwezi Kubadili Kanuni Za Asili…

By | September 18, 2020
Umeamka asubuhi, unataka kuwahi mahali, unajua kabisa usafiri wako uko vizuri, ila asubuhi hiyo unajaribu kuuwasha na hauwaki. Ulishapanga kabisa muda uliozoea kufika eneo husika na sasa usafiri ambao umekuwa unatumia kila siku hauwaki. Unaweza kupata hasira, ukakazana kuendelea kuwasha ukitegemea uwake kwa haraka kama ulivyo na haraka wewe, lakini

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In