2111; Sababu Pekee Ya Kufanya Kilicho Sahihi…

By | October 11, 2020
Watu wengi hufanya kilicho sahihi kwa sababu wana ajenda fulani, kuna kitu wanategemea kukipata kwa kufanya kilicho sahihi. Hivyo wengi hufanya kilicho sahihi kama maigizo, haitoki kweli ndani yao, bali wanafanya kwa mategemeo fulani. Lakini Mstoa Marcus Aurelius alituasa vyema, sababu pekee ya kufanya kilicho sahihi ni kwa kuwa ndiyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In