2119; Kuna Gharama Zaidi Utakayoilipa…

By | October 19, 2020
Kila unapoendelea kusubiri na usianze kufanya kile ulichopanga kufanya, kuna gharama ya zaidi ambayo utalazimika kuilipa. Kila unaposubiri mpaka tarehe ya mwisho ya kufanya kitu ikaribie ndiyo ufanye, utakifanya kwa haraka na ubora utakuwa hafifu kitu ambacho kitakugharimu zaidi au kukupunguzia manufaa ambayo ungeyapata kama ungekifanya mapema. Kila unaposubiri mpaka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In