#TAFAKARI YA LEO; USISEME, ONESHA…

By | October 31, 2020
“Don’t talk about your philosophy, embody it.” – Epictetus Kusema ni rahisi na matendo ni magumu. Huwa tunapenda kusema kuliko kutenda. Lakini matendo yana sauti kubwa kuliko maneno. Hivyo kama unataka kueleweka na wengine, usiwe tu mtu wa kusema kwa maneno, badala yake onesha kwa vitendo. Chochote unachosimamia kwenye maisha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In