2159; Kutaka Kuibadili Dunia…

By | November 28, 2020
Kutaka kuibadili dunia ni kauli ambayo imekuwa inatumiwa na watu wengi. Wengi hujiambia ndoto yao ni kutaka kuibadili dunia, kupitia kile wanachofanya. Lakini wengi siyo tu huwa wanashindwa, bali wanaishia kuiharibu dunia. Dunia haihitaji kubadilishwa, dunia imekuwepo, ipo na itaendelea kuwepo. Wajibu wetu sisi ni kuielewa dunia na kisha kuyafanya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In