2160; Anza Na Wewe, Kisha Soko, Kisha Biashara…

By | November 29, 2020
Kuna njia kuu mbili ambazo zimekuwa zinatumiwa na wengi kuingia kwenye biashara. Njia ya kwanza ni mtu anapata wazo fulani la biashara, anaona ni wazo jipya ambalo halijawahi kufanyiwa kazi, anasukumwa kuanza kulifanyia kazi. Changamoto kubwa ya njia hii ni mara nyingi mawazo mapya huwa hayana soko, unaweza kuwa na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In