#TAFAKARI YA LEO; KUMUDU KUFANYA KWA MUDA MREFU…

By | January 5, 2021
Ni rahisi sana kuhamasika na kuamua kuchukua hatua kubwa mara moja. Labda umesikia watu wenye mafanikio makubwa wanaamka mapema, saa tisa alfajiri na wewe ukaamua mara moja uanze kuamka saa tisa. Unaamka kwa siku chache lakini baadaye unashindwa. Au unajifunza kuhusu umuhimu wa mazoezi, unahamasika na kuanza mazoezi, siku ya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In