2228; Kumeza Na Kufyonza…

By | February 5, 2021
Kusoma kunafanana kabisa na kula, kama unavyoupa mwili virutubisho kupitia chakula, ndivyo unavyoipa akili virutubisho muhimu kupitia usomaji. Unajua kwenye ulaji unakula chakula kingi, kinameng’enywa na kisha sehemu kidogo ya chakula hicho inafyonzwa mwilini na kutumika kwenye kuujenga mwili. Sehemu kubwa inayobakia unaitoa kama uchafu kupitia kinyesi. Kwenye usomaji, unaweza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In