#TAFAKARI YA LEO; ADHABU YA ASILI…

By | March 14, 2021
Matatizo, vikwazo na changamoto mbalimbali unazopitia kwenye maisha yako, ni asili inakuadhibu. Asili huwa ina sheria zake ambazo huwa haiziweki wazi, lakini unapozivunja, inakupa adhabu kali. Kwa kila gumu unalopitia kwenye maisha, jiulize ni sheria ipi ya asili unaivunja, ijue, ifuate sheria hiyo na utaondokana ba magumu hayo. Asili haina

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In