2266; Unasimama Wapi?

By | March 15, 2021
Ni asili yetu binadamu kutaka kupendwa na kila mtu, hivyo huwa tunajitahidi kufanya kile ambacho kitawafurahisha walio wengi. Lakini kila tunapojaribu kufanya hivyo, tunaishia kufanya kisichokuwa na msimamo na kisichomfurahisha yeyote. Kama tunataka kupata wafuasi au watu wanaokubaliana na sisi kwenye maisha, lazima tuchague msimamo ulio wazi kwa wote. Kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In