#TAFAKARI YA LEO; HEKIMA…

By | March 28, 2021
Kujua pekee haitoshi, bali kufanyia kazi kile unachojua ndiko kunakoweza kukufikisha kwenye mafanikio. Hekima ni kujua na kufanyia kazi kile unachojua. Kwa zama tunazoishi sasa, hakuna uhaba wa maarifa, lakini kuna uhaba mkubwa wa hekima. Watu wamekuwa wanapata maarifa mengi, lakini hawawezi kuyachambua na kujua yaliyo muhimu na kisha kuyatumia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In