#TAFAKARI YA LEO; WAELEWE WATU KAMA UNAVYOIELEWA ASILI…

By | April 21, 2021
Huwa unaielewa asili na kwenda nayo kama inavyoenda. Hung’ang’ani kuilazimisha ibadilike na kwenda kama unavyotaka wewe. Kama ulitaka sana jua liwake, lakini mvua ndiyo ikanyesha, huhangaiki kulazimisha jua liwake, bali unaenda na vile mvua inavyonyesha. Lakini inapokuja kwa binadamu hufanyi hivyo, unataka wawe vile unavyotaka wewe, na kulazimisha kwa namna

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In