2312; Ukishafanya Maamuzi…

By | April 30, 2021
2312; Ukishafanya Maamuzi… Kinachofuata ni kuyatekeleza, kujifanyia tathmini na kuboresha kadiri unavyokwenda. Na siyo kuanza kuyahukumu maamuzi yako mwenyewe baada ya kuwa umeyafanya, hata kama umekosea kwenye kuyafanya, kujihukumu haitasaidia. Bali unapaswa kujitathmini na kuyaboresha. Pia siyo kupoteza muda kutaka kila mtu aelewe na kukubaliana na maamuzi hayo. Wengi hawataelewa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In