#TAFAKARI YA LEO; WAKATI WA MABADILIKO…

By | May 12, 2021
Ili kupata matokeo ya tofauti kwenye maisha yako, lazima ubadilike. Lakini mabadiliko siyo rahisi kwa sababu yanakwenda kinyume na mazoea na hatuna uhakika ni matokeo ya aina gani yatakuja. Mabadiliko yanatisha unapoyakaribia na ni rahisi kuyatoroka. Unapaswa kuwa na mkakati wa kukuwezesha kuyakabili mabadiliko ili uweze kupata matokeo ya tofauti.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In