#TAFAKARI YA LEO; USISUBIRI HAMASA…

By | May 25, 2021
Usisubiri mpaka upate hamasa ndiyo uanze kufanya kile unachotaka kufanya. Badala yake anza kukifanya na utatengeneza hamasa ya kuendelea kukifanya zaidi. Ukisubiri mpaka upate hamasa ndiyo uanze utajichelewesha. Ukianza kabla hata hujawa na hamasa unajenga hamasa ya kuendelea kufanya. Kama ilivyo kanuni ya sayansi, kilichosimama huendelea kusimama wakati kilicho kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In