2342; Muujiza Unaohitaji Sana Kuutumia…

By | May 30, 2021
2342; Muujiza Unaohitaji Sana Kuutumia… Watu wamekuwa wakiulizwa kama wakipewa nafasi ya kuchagua nguvu moja ya miujiza wangechagua ipi? Wengi hujibu kuwa na nguvu za kunyanyua vitu vizito au kuweza kuruka hewani. Hayo yamekuwa siyo majibu sahihi kwa sababu hata ukiwa na nguvu hizo hazina msaada wowote kwako. Watu wakikuona

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In