#TAFAKARI YA LEO; WAPE TAARIFA MPYA…

By | July 6, 2021
Kama kuna watu unataka wabadili maamuzi na misimamo yao, usikazane kuwaonyesha kwamba wamekosea, badala yake wape taarifa mpya zinazowapa nafasi ya kufanya maamuzi mapya. Hakuna mtu anayependa kukiri kwamba amekosea, hivyo kuwaonyesha wamekosea kunawafanya wazidi kusimamia maamuzi yao. Lakini unapowapa taarifa mpya ambazo zinawapa mtazamo mpya, wanaamua wenyewe kufanya maamuzi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In