2531; Usijipe umuhimu usiokuwa nao.

By | December 5, 2021
2531; Usijipe umuhimu usiokuwa nao. Ndiyo, wewe ni mtu muhimu sana kwako, mtu wa kipekee, mwenye uwezo mkubwa mno. Hayo yote yako ndani yako tayari. Lakini unashindwa kuyatumia kwa sababu unajipa umuhimu kupitiliza, umuhimu usiokuwa nao. Pale unapodhani kwamba dunia inapaswa kwenda kwa matakwa yako wewe unajidanganya sana. Kwa sababu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In