MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Mambo Mapya Na Mazuri Ndani Ya KISIMA CHA MAARIFA; Usikose.
Kupitia kisima cha maarifa sasa tutaanza kutoa mafunzo ya kubadili au kutengeneza tabia za mafanikio. Kwanzia mwezi wa tano kila mwezi tutakuwa tunaandika kuhusu tabia moja muhimu ya kukufikisha kwenye mafanikio. Kila siku ya jumanne ya kila wiki utapata makala moja kwenye kisima cha maarifa ikielezea umuhimu wa tabia tunayozungumzia