Unaendeleaje Na Zoezi La Kujua Matumizi Ya Muda Wako?

By | May 9, 2014
Wiki hii tuko kwenye zoezi la kujua matumizi ya muda wetu yakoje. Kama tulivyokubaliana ni kwamba tutaandika kwenye karatasi au kijitabu kidogo kila muda tunaotumia kufanya jambo lolote. Yaani utaandika muda ulioanza kufanya na muda ulipomaliza kufanya. Katika wiki hii fanya hivi bila ya kujilazimisha kurekebisha chochote, endelea kuishi maisha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In