Mambo Muhimu Ya Kuzingati Wakati Wa Kujenga Nidhamu Binafsi.

By | September 23, 2014
Kujenga nidhamu binafsi sio kazi rahisi. Kuna changamoto nyingi sana ambazo utakutana nazo na kama hujajipanga vizuri unaweza kukata tamaa na kuacha kabisa. Wiki iliyopita tulijadili jinsi ya kujenga nidhamu binafsi. Baada ya kujua hayo leo tutajifunza mambo muhimu ya kuazingatia wakati wa kujenga nidhamu binafsi. Hapa kuna mambo matano

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In