BIASHARA LEO; Ondoka, Hakuna Aliyekuita Hapa.

By | April 1, 2015
Karibu tuendelee kupeana dondoo muhimu sana za wewe kufanikiwa kupitia biashara unayofanya. katika dondoo hizi tunaangalia makosa yanayofanywa na wafanyabiashara wengi na yanayowazuia kupata mafanikio. Pia tunaangalia changamoto zinazowazuia wafanyabiashara wengi kushindwa kufanikiwa kupitia biashara zao. Jinsi unavyotoa huduma au bidhaa zako kwa wateja, jinsi unavyozungumza nao, jinsi unavyowapokea, kunaeleza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO Tags:

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz