MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Usitupigie Kelele, Tupe Sababu.
Ndio akili ya mteja inavyowaza hivi hata kama hakuambii. Biashara za kupiga kelele sasa hivi zimeshapitwa na wakati. Hizi ni zama za biashara za kutoa sababu. Tuambie kwa nini tufanye biashara na wewe. Kupiga kelele. Kupiga kelele ni pale ambapo unatumia nguvu nyingi kutangaza biashara yako, ila unashindwa kujenga mahusiano