BIASHARA LEO; Hawa Ndio Wateja Rahisi Kuwapata Kwenye Biashara Yako.

By | April 18, 2015
Moja ya changamoto ambazo zinawazuia wafanyabiashara wengi kufikia mafanikio ni upatikanaji wa wateja. Wafanyabiashara wengi sana hutumia nguvu nyingi kumfanya mteja afike kwenye biashara yake, lakini mteja anapofika pale anajilaumu ni kitu gani kimempeleka pale na hatokuwa tayari kurudi tena. SOMA; Maswali Matatu Muhimu Ya Kujiuliza Kwenye Wazo Lako La

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO Tags:

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz