BIASHARA LEO; Saikolojia Ya Kuuza, Uza Bei Ghali Kabla Ya Rahisi.

By | April 24, 2015
Ili uweze kufanikiwa kwenye biashara, hasa kupitia masoko na mauzo basi unahitaji kuijua saikolojia hasa upande wa tabia za binadamu. Binadamu wana tabia fulani ambazo zinawafanya wachukue maamuzi au wasichukue maamuzi katika hali fulani wanazokutana nazo. Tabia hizi ni nyingi na tutaendelea kujifunza kwenye kipengele hiki cha BIASHARA LEO kadiri

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In