BIASHARA LEO; Hivi Ndivyo Unavyokaribisha Ushindani Kwenye Biashara Yako.

By | April 27, 2015
Moja ya makosa ambayo wafanyabiashara wengi huwa wanayafanya na yanawagharimu ni kufikiri kwamba watu wengine hawaoni kile ambacho wanakifanya. Wanafikiri kwamba wamejifungia wkenye ulimwengu wao wenyewe na kufanya mambo yao wenyewe. Ukweli ni kwamba kama unafanya biashara na inaonesha mafanikio makubwa, kuna watu wengi wanaiona biashara hiyo na wameshaanza kufikiria

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In