MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Aina Tatu Za Wateja Na Jinsi Unavyoweza Kufaidika Nao.
Unapoanza biashara, una kazi kubwa ya kufanya kujua wateja wako ni watu wa aina gani. Hili ni jambo muhimu sana ili uweze kuwapatia kile ambacho wanahitaji, uweze kutatua matatizo yao na kisha wakupatie wewe fedha. Japokuwa wateja wako wanawez akuwa na tatizo sawa, lakini bado hawafanani. Kutokana na tabia tofauti