BIASHARA LEO; Tengeneza Mtandao Wako.

By | May 7, 2015
Kitakachokusaidia kufanikiwa kwenye jambo lolote sio kile ambacho unakijua bali wale ambao unawajua. Kadiri unavyojua watu wengi ndivyo unavyoongeza nafasi zako za kufanikiwa kwenye biashara yako. Ni muhimu sana kwako kukuza mtandao wako wa kibiashara. Hakikisha watu wengi unaowajua na hata usiowajua wanajua biashara yako. Hakikisha biashara yako unaweza kuieleza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In