BIASHARA LEO; Bila Kudhulumu Watu Huwezi Kufanikiwa Kwenye Biashara…. UONGO.

By | May 15, 2015
Changamoto nyingi sana tunazokutana nazo kwenye biashara zinaanza na sisi wenyewe. Yaani wewe mwenyewe ndio chanzo kikubwa cha matatizo unayokutana nayo kwenye biashara yako. Japo huwezi kukubali hili ila nasikitika kukutaarifu hivyo. Biashara zinaposhindwa watu wanakuwa na sababu nyingi sana, uchumi mbaya, wateja hakuna, washindani ni wengi na kila aina

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In