BIASHARA LEO; Kinachokufanya Ushindwe Kutekeleza Mipango Yako.

By | May 16, 2015
Kila mfanyabiashara anayo malengo na mipango yake kwenye biashara anayofanya. Lakini ni wachache sana ambao wanaweza kufikia mipango yako na kuvuna matunda mazuri. Wafanyabiashara wengi huwa na mipango mizuri ila unapofika wakati wa utekelezaji ndio ugumu unaopoonekana. Hapa ndipo mtu anaona kama haiwezekani na kuamua kurudi nyume na kuendele akufanya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In