BIASHARA LEO; Kama Huwezi Kusema Kitu Hiki Kimoja, Huna Biashara.

By | May 20, 2015
Katika wakati wowote na popote ulipo ni lazima uweze kuielezea biashara unaofanya kwa sentensi moja. Ni lazima ndani ya dakika moja uweze kumweleza ni biashara ya aina gani unayofanya na inaelekea wapi, au ina mahitaji gani. Ukishindwa kufanya hivi basi hua biashara. Huna biashara kwa sababu huijui biashara yako vizuri

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In