BIASHARA LEO; Sahau Kuhusu Kuongeza Faida Na Fanyia Kazi Kitu Hiki Kimoja Kwanza.

By | May 21, 2015
Lengo la biashara sio kutengeneza faida. Kama utakataa sentensi hiyo na una biashara fanya jaribio. Endesha biashara yako kwa lengo moja tu, kupata faida. Na hivyo tumia njia yoyote unayoona itakuwezesha kukuletea faida. Utaipata faida hii kwa muda mfupi lakini biashara haitokua, itakufa. Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa makala

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In