BIASHARA LEO; Kusema Ukweli Ni Mtaji Kwa Biashara Yako.

By | May 26, 2015
Unapokuwa kwenye biashara, ni rahisi sana kudanganya ili tu mteja aweze kununua. Hali hii hutokea pale ambapo unahitaji sana kuuza na hivyo kuhakikisha mteja haondoki bila ya kununua. Unaweza kuona hili ni sahihi kwako kwa sababu, baada ya kudanganya utauza, ila kwa mwendo mrefu unaharibu biashara yako. SOMA; Makundi Matatu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In