BIASHARA LEO; Hiki Ndio Kikomo Cha Biashara Yako Kukua.

By | May 30, 2015
Biashara yako ina ukomo wake wa kukua, yaani biashara inaweza kukua mpaka itakapofikia ukomo huo utakaoujua leo. Bila ya kujua ukomo hii ni vigumu sana kwa biashara yako kuweza kukua zaidi. Wafanyabiashara wengi ambao biashara zao zimedumaa hawajui kwamba tayari zimefikia ukomo. Hivyo hukazana kufanya mambo mengi ambayo bado hayasaidii

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In