BIASHARA LEO; Je Unatangaza Biashara Au Unapiga Kelele Kwenye Mitandao Ya Kijamii?

By | June 18, 2015
Mitandao ya kijamii ni sehemu nzuri sana ya kutangaza biashara yako. Hii ni sehemu ambayo wateja wako wanakuwepo kwa muda mrefu na wanafuatilia mambo mbalimbali. Lakini changamoto moja inakuja kamba wengi wa watu wanaotangaza kwenye mitandao hii, kiuhalisia hawatangazi, bali wanapiga kelele. Na kwa jamii ya sasa, watu hawataki kelele,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In