BIASHARA LEO; Msimu Wa Biashara Yako.

By | February 9, 2016
Kila biashara ina msimu wake, nyingine zinaweza kuwa na msimu mrefu na nyingine zinaweza kuwa na msimu mfupi. Nyingine msimu ni miezi, nyingine msimu ni masaa. Ni muhimu sana ujue msimu wa biashara yako. ujue ni wakati gani biashara inafanya vizuri, wateja ni wengi na ni wakati gani haifanyi vizuri

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In