BIASHARA LEO; Unachojifunza Kutoka Biashara Za Wengine.

By | April 1, 2016
Pamoja na kwamba wewe ni mfanyabiashara, bado pia wewe ni mteja kwenye biashara za wengine. Ukianzia na unapopata mahitaji yako muhimu na hata unapopata huduma nyingine muhimu kwako. Usiishie tu kuwa mteja, bali hakikisha kupitia uteja wako unajifunza mbinu za kuboresha biashara yako. Kila unapokwenda kununua kwenye biashara nyingine, jiulize

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In