BIASHARA LEO; Kabla Ya Mteja Kununua Unachouza, Anakununua Wewe Kwanza.

By | April 12, 2016
Biashara inaonekana rahisi pale unapofikiria kununua na kuuza pekee. Au kuandaa bidhaa au huduma yako kisha kusubiri wateja waje wa nunue. Lakini biashara siyo rahisi hivi, na ndio maana wengi wanashindwa. Kwa sababu huwa wanafikiri ukishakuwa na mtaji tu unaendesha biashara. Kinachoongeza ugumu kwenye biashara ni ile hali kwamba wateja

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In